Utumiaji wa madawa ya kulevya nchini

20120511-211357.jpg

20120511-211412.jpg
Nikiwa na baadhi ya watumiaji wa madawa ya kulevya walioacha tabia hiyo huko Temeke.

Leo nilitembelea kituo cha kusaidia watumiaji wa madawa ya kulevya kuanza tabia hiyo. Kituo hiki kipo katika Wilaya ya Temeke na kinaendeshwa na taasisi ya Medicin du Mode (MDM) ya Ufaransa.

Katika kituo hiki vijana ambao waliojitambua na kuamua kuacha kutumia madawa ya kulevya hupata huduma mbalimbali za afya, kijamii na kisaikolojia.

Nawapongeza MDM na watumishi wote wa afya ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kuwarudisha watumiaji wa madawa ya kulevya kwenye mstari.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

One Response to Utumiaji wa madawa ya kulevya nchini

  1. moudy hamza says:

    Ni jambo la kufurahisha sana, kuona vijana wanajitokeza kusaidiwa..na hao hao ndio wangekuwa msaada kuonesha madawa yanatoka wapi.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s