Daily Archives: May 7, 2012

Chaguzi ndani ya CCM


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke wakipitia kwa makini kabla kupitisha wagombea katika ngazi ya matawi. Chama Cha Mapinduzi hivi kipo katika mchakato wa chaguzi ngazi mbalimbali katika chama hiki. Pamoja na mwitikio kidogo … Continue reading

Posted in Uncategorized | Leave a comment