Chaguzi ndani ya CCM

20120507-182132.jpg
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke wakipitia kwa makini kabla kupitisha wagombea katika ngazi ya matawi.

Chama Cha Mapinduzi hivi kipo katika mchakato wa chaguzi ngazi mbalimbali katika chama hiki.

Pamoja na mwitikio kidogo katika baadhi ya matawi, zoezi la kuchuja wagombea, kupitisha na chaguzi za viongozi wapya katika ngazi ya matawi unaendelea vizuri katika Wilaya ya Temeke.

Natumai tutachagua viongozi bora na sio bora viongozi kwa malengo ya kupanga safu. CCM inahitaji watu imara na makini katika mazingira ya sasa ya siasa za ushindani.

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s