About

This is an example of a WordPress page, you could edit this to put information about yourself or your site so readers know where you are coming from. You can create as many pages like this one or sub-pages as you like and manage all of your content inside of WordPress.

Advertisements

3 Responses to About

 1. Mr. Kalembe says:

  Habari.
  Nimekua nikitafuta njia muafaka ya mimi kuonana au kuwasiliana na wewe bila mafanikio, Nimeona nitumie njia hii kukupa taarifa ya kua kwa sasa tumefungua community library katika jimbo unaloliongoza eneo la Mikadi tupo barabarani kwenye Nyumba ya Dr. Kabourou. Maktaba yetu inajulikana kwa jina la Kigamboni Community Library.
  Karibu sana, tungependa nawe ututembelee ili ujionee kwa macho yako.
  Wako,
  Kalembe

  Like

 2. Desderi says:

  Mh Mbunge Faustine Ndungulile
  Nimekuwa nikifatilia sana kwa karibu nyendo zako tangu ukiwa Tanzania kisha south Africa na your professionalisma and ethics katika masuala ya msingi sana afya afya kwa ujumla wake.Sio tu kwakuwa ni daktari laini pia umakiri wako kiutendaji na hali halisi ya afya hapa nchini.Nawiwa kusema kuwa ni chaguo langu binafsi endapo utakamata gurudumu la maendeleo hasa kuiendesha wizara ya afya kama waziri.Tunaiomba serikali iwe fair enough nakumpatia Dr F Ndungulile gurudumu hili ili aweze kuleta mabadiliko ya msingi na mwisho huduma bora iwafikie watanzania.
  Nawasilisha.Gig up Dr Ndungulile.We appreciate your work and efforts!

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s