Daily Archives: December 17, 2012

Uuzaji wa Nyumba za NHC Kibada


Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) litaanza uuzaji wa nyumba linazojijenga eneo la Kibada, Kigamboni kuanzia katikati ya wiki hii. Wadau ambao wana nia ya kununua nyumba kwenye eneo hili wanashauriwa kutembelea tovuti ya NHC (www.nhctz.com) kuanzia Jumatano hii ili … Continue reading

Posted in Uncategorized | 2 Comments