Blog mpya na mawazo mapya

Nimeamua kuanzisha blog mpya. Blog yangu ya zamani “Drfaustine.blogspot.com” imepumzishwa kwa muda.
Nitakuwa nikitumia blogu hii kuwapasha habari ya nini kinachoendelea kwenye kampeni yangu na pia mtazamo wangu kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Tuzidi kuwa pamoja.
Faustine

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

2 Responses to Blog mpya na mawazo mapya

  1. Godwin says:

    Goodtimes Doc! Let me be the first to welcome you back to the wired world of information. – GN

    Like

  2. willy says:

    Hi Daktari
    Hongera sana for the achievements. You are a fighter now I know

    Like

Leave a comment