Daily Archives: August 22, 2010

Blog mpya na mawazo mapya


Nimeamua kuanzisha blog mpya. Blog yangu ya zamani “Drfaustine.blogspot.com” imepumzishwa kwa muda. Nitakuwa nikitumia blogu hii kuwapasha habari ya nini kinachoendelea kwenye kampeni yangu na pia mtazamo wangu kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Tuzidi kuwa … Continue reading

Posted in Uncategorized | 2 Comments