Ufungaji wa mafunzo ya VICOBA, kata ya Kisarawe II

20131024-223335.jpg
Leo nimealikwa kufunga mafunzo ya siku nne ya vikundi 34 vya VICOBA vilivyopo kwenye kata ya Kisarawe II, Jimbo la Kigamboni.
Nilisisitiza kwa wanavikundi kuzingatia mafunzo yaliyopewa katika kunyanyua hali zao za kiuchumi. Pia niliwahasa wawe wavumilivu na kuweka mbele nidhamu ili waweze kufanikiwa.
20131024-223437.jpg
Pichani toka kushoto: Afisa Mtendaji Kata, Softrety Magesa; diwani wa kata, Issa Zahoro na mwisho Mdau.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized and tagged , , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s