Uzinduzi wa ujenzi wa chuo cha kilimo, Mwasonga, Jimbo la Kigamboni

image
Leo tumefanya uzinduzi wa ujenzi wa chuo cha kisasa cha teknolojia ya kilimo. Sherehe hii imefanyika kwenye eneo litakalojengwa chuo hicho huko Mwasonga, Kata ya Kisarawe II, Jimbo la Kigamboni. pichani: Nikiwa na Mkuu wa Wilaya, Bi Sophia Mjema.
image
Chuo hiki kitajengwa kwa ufadhili wa Friends on Path toka Korea.
image
Chuo hiki kitajengwa kwenye eneo lenye ukubwa Wa eka 27 na kitakapokamilika kitatoa mafunzo bure kwenye nyanja ya kilimo.
Ujenzi Wa chuo hiki utakamilika mwaka 2015.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized and tagged , , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s