Shughuli za Jimbo kata ya Toangoma

Shughuli za Jimbo kata ya Toangoma
Elimu bado ni changamoto kubwa katika Wilaya ya Temeke. Pamoja na uwingi wa shule katika Jimbo la Kigamboni, bado kuna changamoto nyingi katika sekta ya elimu, ikiwa ni pamoja na uhaba Wa hosteli, madawati, walimu, maabara na nyezo za kufundishia na kusomea.
Pamoja na jitihada za Manispaa ya Temeke, bado mimi kama Mbunge inabidi kutumia juhudi binafsi na pia kuhamasisha jamii na wadau kuchangia maendeleo ya elimu katika Jimbo.

Leo nilifanya ziara kwenye shule ya Msingi Toangoma kujionea madawati ambayo niliyokuwa nimeahidi kutoa kwa shule hii. Kwa njia ya pekee ninaishukuru Benki ya CRDB kwa kufadhili utengenezaji wa madawati na kuwafanya watoto wapatao 200 walio kama chini kupata fursa ya kunyoosha miandiko.

Wadau na wakereketwa Wa maendeleo mnakaribishwa kuchangia sekta hii muhimu. Ukombozi wa elimu utafanikiwa kwa kushirikiana mimi, wewe na yeye.

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
Image | This entry was posted in Uncategorized and tagged , , , , . Bookmark the permalink.

One Response to Shughuli za Jimbo kata ya Toangoma

  1. Dr. Patrick Nhigula says:

    Mbunge,
    Swali: Demographic ya watu wa Kigamboni kama mbunge unayo? Kigamboni kuna shule ngapi za msingi, sekondari na high school? Kwa kisheria za serikali za mitaa na serikali kuu, nani ni wajibu wake katika sekta ya elimu? Hivi mpaka leo 21 Century tunafikiria maendeleo ya watu yanaletwa na serikali kuu? Mipaka ya serikali kuu na mipaka ya serikali za mitaa inaanzia wapi na kuishia wapi?

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s