Bomoa bomoa Mtaa wa Minondo, Somangila, Kigamboni

DSCN0506Hivi majuzi nyumba zipatazo 34 za wakazi wa eneo la Minondo, Amani Gomvu, Somangila walivunjiwa ili kupisha ujenzi wa nyumba za vyombo vya ‘ulinzi na usalama’. Kwa mujibu wa wananchi hawa walivamiwa saa kumi alfajiri na kuamriwa kutoka nje ya nyumba zao ili kupisha zoezi la ubomoji. Wananchi hawa wanadai hawakupewa notisi kuhusu zoezi la ubomoaji .

Kimsingi, wananchi hawa hawapingi mradi huu, ila wanalalamikia kubomolewa nyumba bila kulipwa fidia na wengine kupewa kiwango kidogo cha fidia ambacho ni tofauti na viwango vya soko.

DSCN0507Moja ya nyumba 34 zilizobolewa.

DSCN0508

Nilifuatilia maelezo ya waathirika kuhusu sakata la bomoabomoa.

DSCN0510

Nikipitia baadhi ya vielelezo walivyokuwa navyo waathirika.

DSCN0516

Nyumba ya kisasa ya vyumba vitano ilibomolewa. Wahusika hawakupewa nafasi ya kukoa mali zao.

DSCN0517

Nikimpa pole mmoja wa waathirika aliyebomolewa nyumba yake. Bw huyu ndiye mmiliki wa nyumba hapo juu.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

4 Responses to Bomoa bomoa Mtaa wa Minondo, Somangila, Kigamboni

 1. Dr. Patrick Nhigula says:

  Dr. hivi sasa Tanzania inaendeshwa kwa kufuata sheria au miongozo ya watu wenye mamlaka serikalini ? Hii ni hatari sana.

  Like

 2. SELEMAN MATI says:

  SASA BASI KWA TAARIFA TU KESI ZA AINA HIYOOO UCHUKUA MIAKA SABA MPAKA KUMIII NA HAKI YAKO UPATI;USIURIZE NDUGU YANGU SERIKARI SIKUHIZI WATU WANAKUFANYIA UBAYA WANAJUA ATAUKIENDA MAHAKAMANI WATAKUCHEZEA JE; POLENI NDUGU ZANGU SERIKARI HAMNA UDUGUNAYO

  Like

  • SELEMAN MATI says:

   PIA KWA NJAA WALIYO WATIA HATA MIAKA MIWILI MAHAKAMANI NA WAKILI MTAWEZA KUSHITAKIANA NA SERIKALI KWERI;POLENI HUU NDIO USITARABU WA SERIKARI YETU

   Like

 3. Collin Gumbu says:

  Sheria katika suala hili zinasemaje? Je haki za msingi zimefuatwa. If not nini kifanyike? who is the guilty party?

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s