Shughuli za kichama kata ya Charambe

image
Siku ya Jumanne tarehe 16 Aprili 2013 ilikuwa ni maalumu kwa kutembelea na kuongea na Vijana katika kata ya Charambe. Tulijadiliana mambo pamoja na kushauriana mambo mengi ya kimaisha. Nilifurahishwa kuona vijana wengi walikuwa na mwamko mzuri kwa CCM. Pichani: Nikikabidhi kadi za Umoja wa Vijana kwa wanachama wapya Wa UVCCM.
image
Zoezi hili liliambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wanaoishi kwenye Kata ya Charambe. Siku hiyo nami nilipata kujua kwamba Mkubwa Fella wa TMK Wanaume ni mdau na mpigakura. Bw Fella alinijulisha kuwa Mhe. Temba, Chege, Juma Nature, Dogo Asley wote ni wadau Wa Jimbo la Kigamboni. Pale burudani iliponoga ilibidi kuingia uwanjani.
image
Moja ya mashina matano ya wakereketwa niliyozindua siku hiyo.
image
Shughuli ni watu na kazi na dawa.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

2 Responses to Shughuli za kichama kata ya Charambe

  1. Pingback: Kigamboni planning authority - Page 2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s