Ubalozini Delhi, India

Ubalozini Delhi, India

Niko nchini India nikiwakilisha Bunge la Tanzania kwenye kongamano la Wabunge vijana toka Bara la Afrika lililoandaliwa na Serikali ya India.
Wabunge wengine wanaoshiriki toka Tanzaniani Mhe. Namelok Sokoine (MB) na Mhe. Saidi Mussa Zuberi (MB). Taarifa ya ziara nitaitolea maelezo katika andiko jingine.
Jana tulipata fursa yakutembelea Ubalozi wetu hapa New Delhi na kupata mapokezi mazuri.
Mhe. Balozi alitupatia taarifa kuhusu mahusiano kati ya Tanzania na India. Mafanikio katika falsafa ya diplomasia ya kiuchumi ni pamoja na kukua kwa biashara baina ya nchi hizi mbili kutoka USD 1,230 million mwaka 2008/9 hadi kufikia 1,729.4 mwaka 2010/2011. Vilevile Serikali ya India imekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya kilimo na katika mafunzo ya wataalamu mbalimbali chini ya mpango India Technical and Economic Cooperation (ITEC).
Picha: Mstari Wa mbele kuanzia kushoto: Mhe Namelok Sokoine, Mdau, Mhe. Balozi John Kijazi, Mhe. Saidi Zuberi, Dr Kheri Goloka.
Mstari Wa nyuma toka kushoto: Bi Fadhila Mwindadi, Bi Felistas Mwalukasa, Bi Leluu Abdalla, Bi Badriya Kiondo na Bw Yahya Mhata

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
Image | This entry was posted in Uncategorized and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s