Tatizo la umeme Kigamboni na Mbagala

Napenda kuwapa taarifa kwamba laini ya umeme kati ya Ilala-Kurasini inayopeleka umeme maeneo ya Kurasini, sehemu ya Temeke, Mbagala, Kigamboni yote na Mkuranga ina matatizo tangu saa 5:10 usiku jana.
Tatizo hili linatokana na kulipuka kwa controls za Circuit Breaker ya transfoma yenye 33KV iliyopo Ilala.
Mafundi wanalifanyia kazi tatizo hili na umeme unatarajia kurejea leo muda wa saa nne usiku.
Maeneo yanayokosa umeme ni Kurasini, sehemu ya Temeke (Sabasaba na Mtoni), Kigamboni, Mbagala na Mkuranga.

Nitaendelea kuwapa taarifa kadri nitakavyokuwa nazipata.Poleni kwa usumbufu huu.

Dkt Faustine Ndugulile
Mbunge

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized and tagged , , , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s