Ijumaa Kareem

I20130111-122737.jpg

 

20130111-134512.jpg

Ijumaa Kareem! Ijumaa ya leo nilipata fursa ya kushiriki kwenye Mkuu wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO), Mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo, Mhe. Phillipo Mulugo.

TAHLISO imekuwa na mchango mkubwa sana kwetu kama Kamati ya Bunge inayoshughulika na Huduma za Jamii (Elimu na Afya). Mara nyingi tukiwatumia kuapata uhalisia wa mambo kuhusu mambo ya taaluma na maslahi ya wanafunzi wa elimu ya juu.

Nilipopata nafasi ya kuongea, niliwapongeza TAHLISO na Serikali kwa kujenga mahusiano ambayo yamepunguza sana migomo na migogoro kwenye taasisi za elimu ya juu.

Nautakia uongozi mpya wa TAHLISO kazi njema.

 

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s