Mbagala yazidi kupendeza

Mbagala yazidi kupendeza
Barabara ya Kilwa kati ya Mtoni na Mbagala ilifanyiwa matengenezo makubwa hivi karibuni. Pamoja na matengenezo haya, taa za barabarani zimewekwa.
Maeneo ya Mbagala yanazidi kubadilika siku hadi siku. Majengo mapya yamejengwa katika maeneo ya Rangi Tatu na huduma za kibenki zinapatikana bila kuhitaji kwenda mjini. Vilevile uwepo wa ukumbi wa starehe wa Dar Live umezidi kuiweka Mbagala kwenye ramani ya Jiji la Dar Es Salaam. Hakika Mbagala si tena “Nyumba mbele jalala” kama alivyoimba msanii Diamond.

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized and tagged . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s