Ziara Jijini Paris

Wadau tulliokuwa nao kwenye ziara ya hivi karibuni kwenye Jiji la Paris. Kutoka kulia: Dr Joseph Mbatia, Mhe. Ummy Mwalimu, Mhe. Lediana Mng'ong'o, Dr Bonita Kilama na Mdau. Hapa ni nje ya City Hall ya Paris baada ya kuonana na Naibu wa Jiji la Paris.

Wadau tulliokuwa nao kwenye ziara ya hivi karibuni kwenye Jiji la Paris. Kutoka kulia: Dr Joseph Mbatia, Mhe. Ummy Mwalimu, Mhe. Lediana Mng’ong’o, Dr Bonita Kilama na Mdau. Hapa ni nje ya City Hall ya Paris baada ya kuonana na Naibu wa Jiji la Paris. Timu hii ilikuwa jijini Paris kujifunza kuhusu mfumo unaotumika katika kupunguza athari za maambukizi ya magonjwa ya kuambukizwa kwa watumiaji wa madawa ya kulevya.

Ziara Jijini Paris, Ufaransa

Ujumbe wa Tanzania nje ya makao makuu ya taasisi ya Medicin du Monde inayojishughulisha na kupunguza athari za magonjwa ya maambukizi kwa watumiaji wa madawa ya kulevya. Nchini Tanzania taasisi hii inafanya kazi katika Wilaya ya Temeke.

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s