Tanzanite Club, Geneva

Geneva, Uswisi

Baada ya shughuli za siku Watanzania hupenda kwenda Tanzanite Club iliyopo katikati ya Jiji la Geneva. Klabu hii ina ilikuwa na Mtanzania.

Nilipotembelea klabu hii nilipata fursa ya kukutana na watanzania waishio Geneva.

Mmoja wa wadau niliokutana nao ni Bw Alphonce Mkama. Kijana makini na alichangia vizuri kwenye mjadala wetu wa mchango wa wasomi kwenye mustakabali wa nchi yetu.

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
Image | This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

4 Responses to Tanzanite Club, Geneva

 1. Kishili benjamin says:

  Nafurahi kukutana na watanzania wenzangu walio Geniva-uswiswi. Nami nipo nchi ya nchi!tushirikiane ktk mijadala mbalimbali ktk ujenzi wa nchi na kuendeleza jamii

  Like

 2. Dr.Patrick Nhigula says:

  Elimu kwanza. Reform Wizara ya Elimu. Afya kwa wote. Reform Wizara ya Afya. kwanza kuwe na Human Health Services:Washugulikie Policy na Programs za Afya Tanzania. Muhimu sana kuwa na agency ya aging na bureau ya watoto na afya ya kinamama. Kuwepo na wizara ya social services-washugulikie implemetation of all social services kwa watanzania. Mwisho, kuwepo na wizara ya afya ya mazingira:washugulike afya ya vyakula mahotelini, magonjwa, lesini za wauza vyakula, n.k

  Like

 3. Kishili benjamin says:

  Kw. Dr. Patrick Nhigula. Ahsante kwa mchango wako!! Hayo si geni ktk nchi yetu! Tatizo si wtz!ni washika dau!!maadui wasababishao umaskini ktk tz ni 1, UFISADI,2 UJINGA,3 MARADHI, 4 UKOSEFU WA VIONGOZI WENYE MAONO N MIPANGILIO… Dr.patrick nakuunga mkono kw changamoto ulizozieleza,ukweli ni kwamba hela za kushulikia Afya,elimu,maji safi,umeme,vyakula,.kilimo, hela zipo tele!lakini tumtume nani awakilishe asazi husika na kila atumwae hugeuka kinyonga? Hukupata fununu ya one top leader’s wameficha hela za ya TSh12.893 trilion’s huko uswiswi?je wote wakifunga viingilio maskini atapenya wapi na hana nguvu wala sauti?

  Like

 4. Kishili benjamin says:

  Pana tofauti gani kati ya RAIA &MWANANCHI?

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s