Wahanga wa mabomu Mbagala kulipwa

20120626-224356.jpg
Hatimaye baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, wahanga wa mabomu wapatao 1788 wa Mbagala wataanza kulipwa fidia yao ya TSh 2.2 Billion. Namshukuru Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Mkurugenzi Msaidizi Maafa na kamati ya PAC chini ya Mzee Cheyo kwa mchango wao mkubwa katika kuhakikisha fedha hizi zinapatikana kabla ya mwisho wa mwezi Juni 2012.

Kero ya malipo ya fidia ilikuwa ni ya takribani miaka mitatu na kwa muda iliwekwa pembeni kutokana na mlipuko mwingine uliotokea Gongo la Mboto.

Ni furaha kwangu kama Mbunge kuona kero hii ambao ni moja ya kero kubwa ya wakazi wa Jimbo la Kigamboni, sasa imepata majibu.

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s