Tatizo la umeme Kigamboni na Mbagala

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutaarifu wateja wake wanaoishi maeneo ya Kigamboni na Mbagala kuwa shirika hilo litaanza zoezi la kuboresha nyaya zinazotoa umeme kutoka kituo chao cha Ilala hadi Kurasini na Mbagala.

Kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo haya kunatokana na kuzidiwa uwezo laini ya umeme kutoka Ilala hadi Kurasini kunakosababishwa na kuongezeka kwa matumizi ya umeme maeneo ya Kurasini na Mbagala.

Shirika limeanza zoezi la kuboresha miundombinu ili kutatua tatizo hilo.

Kutokana na zoezi hili kuanza, umeme utakatwa leo tarehe 28/4/2012, 2/5/2012 na 5/5/2012 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni.

Zoezi hili likikamilika litaondoa tatizo la umeme kukatika mara kwa mara muda wa jioni.

Shirika linaomba radhi sana kwa usumbufu utakaojitokeza.

Mbunge

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

One Response to Tatizo la umeme Kigamboni na Mbagala

  1. sam Longway says:

    Mimi ni mkazi wa Kigamboni.Naulizia ili zoezi bado linaendelea na mwisho ni lini?

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s