Tatizo la umeme Kigamboni

Napenda kuwafahamisha kuwa wire wa kusafirisha umeme 33kv B-phase unaovuka bahari kutoka Kurasini kwenda Kigamboni umekatika upande wa Kigamboni saa 10:10. Hivyo Kigamboni yote haina umeme. Mafundi wa Transmission kutoka Magomeni wanaelekea huko kwa ajili ya kuvuta wire na kuunga. Nitaendelea kuwapeni taarifa kadri nitakavyozipata.
Asante.
Mbunge

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s