Iddi imeisha kimya kimya

Kutwa ya leo nimekuwa nikitembelea maeneo mbalimbali ya Jimbo la Kigamboni. Nilianzia kata ya Chamazi na baadaye nilipitia kata za Toangoma, Kibada, KisaraweII na Mjimwema.

Kote nilikopita nimekuta uchache wa magari na utulivu wa hali ya juu. Cha kushangaza zaidi hata kivuko cha Feri kulikuwa na magari machache sana.

Nimejiuliza na bado sijapata jibu. Watu wengi kutotoka majumbani na sikukuu hii kukosa shamrashamra kumesababishwa na nini?

  1. Sikukuu hii si kubwa kama Idd el Fitr?
  2. Sikukuu kuangukia wikiendi?
  3. Ukata na ugumu wa maisha umewabana wananchi?

Nini mtazamo wako?

Advertisements

About Dr Faustine Ndugulile

#Medical Doctor #Microbiologist # Public Health Specialist #Politician #African #Proud Tanzanian
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s